Thursday, June 4, 2020

STEPHANO MWANA WA MWINYI KUACHIA ALBUM MPYA


Mwimbaji wa nyimbo za Injili TZ #STEPHANO #MWANA WA #MWINYI nataraji akuachia Album yake ya nyimbo za injili inayoitwa #MUNGU WA #MATENGENEZO, albbum 
Album yake tayari imeshakamilika na kitu anachosubiri hivi sasa ni Janga la #COVID-19 kupita. Album hii imesheheni nyimbo zenye mguso wa roho Mtakatifu zitakazokusogeza kwenye uwepo.
Usipange kuikosa nakala yako!! Anawaomba watu wote kuwa tayari kuipokea album hii ambayo itafanyika baraka kubwa katika maisha. 

Kwa maelezo zaidi kuhusu ujio wa Album hii mpya, endelea kufuatilia matangazo kupitia blog hii.

Joyland Pictures
#NEW #CHAPTER 2020

No comments:

Post a Comment